Skip to content
Wednesday, July 29, 2026
  • UEFA Yatingisha Kengele FIFA Baada ya Mpango wa Infantino Kuhusu Kombe la Dunia
  • Kairat vs Omonia na Fenerbahçe vs Górnik Zabrze Zatoa Fursa ya Mkwanja Leo
  • Yanga Yamweka Depu Sokoni, Shalulile Atajwa Kuchukua Nafasi Yake
  • Shigongo Cup 2026 Kuanza Rasmi Leo Buchosa, Iligamba FC na Kanyala FC Kufungua Pazia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • UEFA Yatingisha Kengele FIFA Baada ya Mpango wa Infantino Kuhusu Kombe la Dunia
  • Kairat vs Omonia na Fenerbahçe vs Górnik Zabrze Zatoa Fursa ya Mkwanja Leo
  • Yanga Yamweka Depu Sokoni, Shalulile Atajwa Kuchukua Nafasi Yake
  • Shigongo Cup 2026 Kuanza Rasmi Leo Buchosa, Iligamba FC na Kanyala FC Kufungua Pazia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • July
  • 28

July 28, 2026

  • Sports

Mzize, Shalulile, Toure, Mwijage na Okello: Yanga Yaonyesha Silaha Mpya za Msimu

Saleh1 day ago03 mins

Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umeweka wazi mipango mikubwa kuelekea msimu mpya, huku ikielezwa kuwa mfadhili wa klabu hiyo, Ghalib Said Mohamed (GSM), ametenga bajeti ya takribani Sh bilioni 15 kwa ajili ya usajili wa wachezaji pekee. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Yanga SC, Ali Kamwe, ambaye amesema Rais wa klabu hiyo, Eng….

Read More
  • Sports

Arafat Haji Awatuliza Wananchi Kuhusu Ujenzi wa Uwanja wa Yanga Jangwani

Saleh1 day ago02 mins

Makamu wa Rais wa Young Africans (Yanga SC), Arafat Haji, amewatoa hofu mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa katika eneo la Jangwani, akieleza kuwa hatua muhimu za maandalizi tayari zimekamilika. Arafat amesema Yanga na mwekezaji GSM walitia saini mkataba rasmi wa utekelezaji wa mradi huo…

Read More
  • International
  • Sports

Fahamu Safari ya Peter Shalulile wa Yanga Kutoka Namibia na Mamelodi

Saleh1 day ago03 mins

Peter Shalulile ni mshambuliaji kutoka Namibia aliyezaliwa Oktoba 23, 1993 huko Windhoek. Anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao, kasi, na kujipanga vizuri ndani ya eneo la hatari. Amekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Namibia na alijijengea sifa kubwa akiwa Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini. Safari ya soka Tura Magic (Namibia):…

Read More
  • International
  • Sports

LeBron James Atikisa NBA, Philadelphia 76ers Wathibitisha Kusajili

Saleh1 day ago01 mins

Philadelphia 76ers wamethibitisha kumsajili nyota wa NBA, LeBron James, ambaye amesema huu utakuwa mkataba wake wa mwisho katika ligi hiyo. James mwenye umri wa miaka 41 ameondoka Los Angeles Lakers baada ya kuitumikia kwa misimu minane, na sasa ataungana na kikosi chenye wachezaji kama Joel Embiid, Tyrese Maxey, Jaylen Brown na VJ Edgecombe. Akizungumza baada…

Read More
  • Entertainment
  • Sports

Shinda Hadi Mara 5,000 ya Dau Lako Katika Gates of Love Meridianbet

Saleh2 days ago1 day ago01 mins

Burudani huwa tamu zaidi pale inapokuja na nafasi ya kupata zawadi kubwa. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Gates of Love, mchezo unaowapa wachezaji nafasi ya kufurahia kila mzunguko huku wakisaka ushindi mkubwa, na Meridianbet haiwaachi wateja wake, sasa unaweza cheza mchezo huu mahali popote kupitia simu yako. Mchezo huu umeundwa kwa muonekano wa kuvutia unaoendana na…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.