Haaland, Guardiola na Maldini Washuhudia Harusi ya Donnarumma Italia
Kipa wa Manchester City na nahodha wa timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Alessia Elefante katika sherehe kubwa iliyofanyika nchini Italia. Donnarumma (27) alimuoa Alessia katika kanisa la Chiesa Madre di San Giorgio Martire, lililopo Locorotondo, Italia, huku hafla hiyo ikihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa…