Simba SC Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev atakuwa kiongozi na mtendaji mbele ya benchi la ufundi wakati wa michezo. Kocha huyo raia wa Bulgaria ana leseni ya UEFA A hivyo hana vigezo…