Simba SC yamtaka kocha Yanga SC
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba SC wapo na hesabu za kumpa kazi Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Inaelezwa kuwa Simba SC mara baada ya Fadlu Davids kubwaga manyanga walianza kufikiria kupata huduma ya Gamondi ambaye aliwahi kuinoa Yanga SC na kuipa ubingwa. Uzoefu wake kwenye soka la Afrika…