Matokeo EPL: Crystal Palace 2-1 Liverpool, Chelsea Apoteza, Man City 5-1 Burnley: Haaland afunga double

Mabingwa watetezi, Liverpool, wamepoteza 2-1 dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Selhurst Park, huku Chelsea ikishindwa 3-1 nyumbani Stamford Bridge. Kwingineko, Erling Haaland amefunga magoli mawili wakati Manchester City ikiibamiza Burnley 5-1 kwenye dimba la Etihad. Matokeo kamili: Chelsea 1-3 Brighton 24’ Enzo Fernández ⚽ 77’ Danny Welbeck ⚽ 90+2’ De Cuyper ⚽ 90+10’…

Read More

YANGA SC VS WILIETE KIKOSI HIKI HAPA

KIKOSI cha Yanga SC vs Wiliete, Uwanja wa Mkapa Septemba 27 2025 Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Ladack Boka,Dickson Job, Ibrahim Bacca ,Andambilwe, Maxi Nzengeli, Duke Abuya, Prince Dube, Mudathir Yahya na Pacome Wachezaji wa akiba Aboutwalib Mshery, Assinki, Farid Mussa, Conte,Shekhan, Kouma,Chikola, Edmund John, Boyeli.

Read More

Wikiendi ya EPL, Mechi Kali, Na Fursa ya Ushindi Meridianbet

Mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye burudani ya kipekee wikiendi hii, ambapo vita ya alama tatu inashika kasi kwenye viwanja mbalimbali vya ligi kuu Uingereza. Kwa wale wanaotafuta faida kupitia bashiri, huu ndio wakati wa kuingia Meridianbet na kusuka mkeka wenye ushindi kupitia odds kabambe zinazopatikana mtandaoni. Gtech Community Stadium itashuhudia mchezo wa mapema. Brentford watakuwa…

Read More

Yanga SC vs Wiliete SC ni Jumamosi hii kwa Mkapa

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi  ya Wiliete SC Jumamosi hii. Yanga SC itaingia uwajani ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 3-0 waliyopata katika mchezo wa ugenini mabao yakifungwa na Aziz Andambwile aliyefungua ukurasa katika anga la kimataifa, Edmund John na Prince Dube. Ali…

Read More

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa binadamu hasa kwa watoto na kina mama wanaoteseka kutokana na vita na migogoro. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Infantino alisema: “Sote tunajua kwamba tunaishi katika ulimwengu uliogawanyika, ulimwengu mkali,…

Read More

Europa League Moto Kuchemka, Salzburg vs Porto: Nani Ataendelea na Moto wa Ushindi?

Mashabiki wa soka duniani wanajiandaa kwa usiku wa burudani barani Ulaya, ambapo michuano ya Europa League msimu wa 2025/26 inaendelea kwa kishindo. Viwanja mbalimbali vitafurika kwa kelele, tambo na matumaini, huku timu mahiri zikichuana. Kwa wabashiri, Meridianbet imeweka odds kubwa kukupa nafasi ya kuvuna ushindi. Mchezo wa kuvutia unatarajiwa kuchezwa Villa Park, ambapo Aston Villa…

Read More

Cheza Aviator Ushinde Samsung A26 Mpya!

Meridianbet Inawaletea Wachezaji Fursa ya Ushindi wa Kipekee. Meridianbet, kampuni inayoongoza katika michezo ya kasino na kubashiri mtandaoni, inawapa wateja wake fursa ya kipekee ya kushinda Samsung A26 mpya mwezi huu kupitia mchezo wa kisasa wa Aviator. Kampeni hii inawalenga wachezaji wote wanaotaka msisimko wa kubashiri, burudani ya kipekee na nafasi ya kushinda zawadi kubwa….

Read More

Simba SC vs Fountain Gate kupigwa Uwanja wa Mkapa

SELEMAN Matola kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 25 2025. Huu unakuwa mchezo wa kwanza kwa Simba SC msimu wa 2025/26 kwenye ligi ambayo imeanza kasi Septemba 17 kwa mechi za ushindani kuendelea ndani…

Read More