MKALI WA NYAVU AZAM FC HUYU HAPA
MATAJIRI wa Dar, Azam FC mkali wao wa kucheka na nyavu ni Feisal Salum akiwa kafunga jumla ya mabao 12 kati 45 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya tatu na pointi 44 baada ya kucheza mechi 20. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika kuelekea mchezo wao dhidi ya…