FT: MASHUJAA 1-1 SIMBA, LAKE TANGANYIKA, (6-5)
CRDB Federation Cup. Mashujaa wanaifunagshia virago Simba kwenye CRDB Federation Cup kwa ushindi wa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Simba haina bahati mbele ya Mashujaa kwa kuwa iliwahi kutolewa walipokutana kwenye mashindano hayo hivyo kisasi cha ushindi kwenye ligi kimelipwa mazima katika raundi ya nne. Mashujaa 1-1 Simba…