
SIMBA HAO ZANZIBAR
KIKOSI cha Simba leo kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Muungano Cup 2024. Simba haijawa kwenye mwendo mzuri ndani ya ligi baada ya kukwama kuonyesha uwezo wake wa kutumia nafasi dhidi ya Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara. Mzunguko wa kwanza ilipoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-5…