
DIAMOND AMEFICHUA UJANJA WAKE ULIPO KUTUSUA
DIAMOND na mwamba amefichua ujanja wake ulipo kutusua kitaifa na kimataifa kwenye anga la muziki na biashara
DIAMOND na mwamba amefichua ujanja wake ulipo kutusua kitaifa na kimataifa kwenye anga la muziki na biashara
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kichapo cha mabao 5 mbele ya Simba hakikimbiliki kwa namna yoyote kwa kuwa kila hesabu watakazofanya inakuja 5. Ipo wazi kuwa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga na mchezo wa mzunguko wa pili ilikuwa Yanga 2-1 Simba. Ali…
KABLA ya Kariakoo Dabi kuna miamba ilikuwa na balaa kwenye kucheka na nyavu na mpaka sasa wanaendeleza balaa lao, hawa hapa wakali wa kucheka na nyavu
Ikiwa leo hii ni Jumapili muaua kabisa kila mtu anajua kuwa leo hii ni siku ya wewe ndugu mteja kujinshindia kitita cha pesa ambapo utabashiri na meridianbet. Unasubiri nini sasa? BUNDESLIGA mechi zipo ambapo Werder Bremen atakuwa mwenyeji wa VFB Stuttgart leo a,baye yupo vizuri sana msimu huu. Mwenyeji ametoka kupokea kipigo kizito mechi yake…
Manchester City imetinga fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika dimba la Wembley kwenye nusu fainali. FT: MAN CITY 1-0 CHELSEA ⚽ Bernardo Silva 84’ Manchester City imetangulia nusu fainali kumsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Coventry dhidi ya Manchester United itakayopigwa kesho katika dimba…
Expanse Studio ni magwiji kwenye utengenezaji wa michezo ya kasino, Meridianbet ni nyumba ya mabingwa kwa wachezaji wa kasino, kupitia shindano jipya la Expanse unaweza kuibuka na ushindi mkubwa sana. Jisajili sasa uwe wa kwanza kupata bonasi kubwa za kasino. Hii ni kwa wachezaji wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kila unapocheza michezo ya kasino…
MSIMU wa 2023/24 kwa watani wa jadi Yanga na Simba umegota mwisho huku Yanga wakiwa ni wababe ndani ya ligi nje ndani. Aprili 20 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-1 Simba na ule mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba 1-5 Yanga. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ulichezwa Novemba 5 2023 Yanga…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Kariakoo Dabi Yanga wameibuka na ushindi kwa mabao 2-1 Simba ikiwa ni mzunguko wa pili. Yanga walianza kufunga mapema kupitia kwa Aziz KI dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na mwamba Joseph Guede bao moja dakika ya 37. Simba wamepata bao moja kipindi cha pili kupitia kwa Michael Fred…
Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, leo ni leo yani usipopiga pesa leo utapigwa lini?. Chagua machaguo yako uyapendayo na ujiweke kwenye nafasi ya kuwa milionea. SERIE A, kama kawaida nayo leo kuna mechi mbili, saa 1:00 usiku Empoli atamenaya dhidi ya Napoli ambapo Naples anaingia uwanjani akikumbuka kipigo alichopoke akiwa nyumbani. Meridianbet…
SHOMARI Kapombe, beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga. Aprili 20 2024 mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu hizo kukutana. Ipo wazi kwamba kwenye mzunguko wa kwanza ubao…
BODI ya Ligi Kuu nchini imemtangaza mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga kuwa ndiye atazisimamia sheria 17 za soka katika mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga dhidi ya Simba. Arajiga atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, Kassim Mpanga wa Dar es Salaam huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo. Kariakoo Derby itachezwa Jumamosi…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa watani zao wa jadi Simba wakijichanganya watawatuliza kimya kwa kuwa hesabu zao ni kupata matokeo kwenye mechi zote na sio dhidi ya Simba pekee. Yanga watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 20 2024 wao wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo. Ipo wazi…
Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam FC kiasi cha Dola 210,000 sawa na zaidi ya milioni 540 za kitanzania) ili aweze kuwa mchezaji huru.
JOTO kubwa kuelekea Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda ambapo Aprili 20 2024 itafahamika nani atakuwa nani baada ya dakika 90 kutokana na kazi kubwa ya mastaa wote kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa wa kuchungwa kuelekea Kariakoo dabi namna hii:-
Magwiji wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imetembelea eneo la Makongo tawi la Mlalakua kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuimarisha usafi eneo hilo. Meridianbet mara kwa mara wamekua wakihakikisha wanarudisha fadhila kwenye jamii yao ambayo imewazunguka, Leo imekua ni zamu ya eneo la Makongo jijini Dar-es-salaam ambao ndio wamekua…