MANCHESTER CITY YATINGA FAINALI YA KOMBE LA FA ENGLAND

Manchester City imetinga fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika dimba la Wembley kwenye nusu fainali.

FT: MAN CITY 1-0 CHELSEA
⚽ Bernardo Silva 84’

Manchester City imetangulia nusu fainali kumsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Coventry dhidi ya Manchester United itakayopigwa kesho katika dimba la Wembley.