YANGA HAO ROBO FAINALI
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup Yanga wamekata tiketi kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wakiwa ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga. Bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Emmanuel Martin ambaye alijifunga dakika ya 3 na Clement Mzize dakika ya 66 alipachika…