ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KINAWAKA LEO

Usiku wa kusisimua zaidi kwa wapenda soka duniani kote unarejea leo ambapo utaenda kushuhudia michezo mikali ikipigwa katika viwanja viwili tofauti katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya. Miamba ya soka kutoka nchini Hispania klabu ya Real Madrid itamenyana na  klabu ya Manchester katika mchezo wa kwanza wa robo fainali, Huku vinara…

Read More

FT: MASHUJAA 1-1 SIMBA, LAKE TANGANYIKA, (6-5)

CRDB Federation Cup. Mashujaa wanaifunagshia virago Simba kwenye CRDB Federation Cup kwa ushindi wa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Simba haina bahati mbele ya Mashujaa kwa kuwa iliwahi kutolewa walipokutana kwenye mashindano hayo hivyo kisasi cha ushindi kwenye ligi kimelipwa mazima katika raundi ya nne. Mashujaa 1-1 Simba…

Read More

SIMBA NA HESABU KUBWA KWA MASHUJAA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo tayari kwa mchezo wao wa raundi ya nne dhidi ya Mashujaa ya Kigoma mwisho wa reli kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ni Aprili 8 mapema Simba waliwasili salama Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Aprili 9 2024 saa 10:00 jioni na yule…

Read More

MASHUJAA SIO KINYONGE WATUMA UJUMBE SIMBA

WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamegomea unyonge mbele ya Mnyama kwa kubainisha kwamba wamefanya maandalizi mazuri kuwakabili. Ipo wazi kwamba baada ya kumaliza ngwe ya kimataifa Simba ikigotea hatua ya robo fainali ina kazi kwenye mashindano ya ndani ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na CRDB Federation Cup….

Read More