>

Ingia Meridianbet Usuke Mkeka Wako Leo

  Kupiga maokoto ni rahisi sana endapo utabashiri na meridianbet leo hii, mechi zipo kibao sana kuanzia hizi za AFCON na zingine kibao. Ndoto yako inaweza kutimia leo hii ukituliza kichwa chako vizuri. Nigeria leo hii watakuwa wakimenyana dhidi ya Guinea Bissau huku timu zote zote zikihitaji ushindi wa maana ili kujiweka kwenye nafasi nzuri…

Read More

WAKATI UNAKUJA KULINDANA UWANJANI MUHIMU

MUDA uliopo kwa sasa katika mapumziko ni kufanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi zijazo huku kila mchezaji akifanya tathimini ya kile ambacho alikifanya uwanjani. Bado vita ni kubwa kwenye upande wa timu ambazo zinasaka ushindi hilo lipo wazi na litaendelea kuwa hivyo pale ligi itakaporejea kwa mara nyingine tena. Licha ya…

Read More

VITA YA GAMONDI YANGA IPO HAPA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga hesabu zake kubwa kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye mashindano makubwa matatu ambayo wanashiriki baada ya Mapinduzi 2024 kugota mwisho. Ipo wazi kuwa Yanga iligotea hatua ya robo fainali Mapinduzi 2024 ubingwa ukibaki kwa mara nyingine mbele ya Mlandege waliupata ushindi wa bao 1-0 Simba kwenye mchezo wa fainali…

Read More

BEKI HUYU BADO YUPO SANA YANGA

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi bado yupo ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Beki huyo wa kupanda na kushuka alikuwa nje kwa muda baada ya kupata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly ya Misri lakini kwa sasa tayari…

Read More

DR CONGO NGOMA NZITO MBELE YA MOROCCO

TIMU ya taifa DR Congo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kombe la Mataifa Afrika, Januari 21. DR Congo ina wachezaji wawili wanaoitambua Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele aliyewahi kucheza Yanga na Henock Inonga anayekipiga Simba. Morroco walipachika bao kupitia kwa Achraf Hakim mapema kabisa…

Read More

WAPENI FURAHA WATANZANIA TAIFA STARS

KAZI kubwa inapaswa kufanyika leo kwa ajili ya kuiandaa kesho nzuri na inawezekana licha ya ugumu kuwa mkubwa kila wakati kutokana na timu zote kujipanga kupata ushindi hakuna namna ni muda wa kupambania malengo. Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jukumu lenu ni moja kusaka ushindi kwenye mechi ambazo mtashuka uwanjani kwa…

Read More

IHEFU WAPO CHIMBO HUKO

WAKATI huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara kutokana na kuwepo kwa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, maarufu kama AFCON uongozi wa Ihefu umeweka wazi kuwa kambi yao itakuwa Arusha mpaka pale ligi itakaporejea. Kocha Mkuu wa Ihefu Mecky Mexime amesema kuwa uwepo wao ndani ya Arusha utawajega zaidi na watarejea wakiwa imara kwenye…

Read More

HII HAPA BAJETI YA SIMBA KWA MWAKA 2023/2024

“Matumizi ya 2022/23 yalipangwa kuwa Tsh. 12,363,626,983 lakini matumizi halisi ni Tsh. 15,936,829,943. Bajeti kwa mwaka 2023/2024 klabu imepanga kukusanya kiasi cha Tsh. 25,930,722,300 lakini imepanga kutumia kiasi cha Tsh. 25,423,997,354. Tutabaki na mapato ya ziada ya Tsh. 506,724,946.”- Mhasibu wa Klabu, Suleiman Kahumbu

Read More

KARATA YA PILI KWA STARS LEO

LEO Januari 21 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza Stars ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Morocco na leo itakuwa ni mchezo wake wa pili wa kundi F. Hemed Morocco, Kaimu…

Read More