>

Cheza Sloti ya GOLD OASIS Kasino Bora Meridianbet

Gold Oasis, mchezo mwingine wa sloti  kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni kujiunga na kikundi kilichoanzisha kampeni ya ushindi mkubwa. Karibu kwenye furaha kubwa ya kukusanya maokoto.   Gold Oasis ni mchezo wa sloti ulioandaliwa na mtayarishaji Pragmatic Play. Kitu kisichokuwa cha kawaida kabisa kinakungoja katika mchezo…

Read More

MKALI WA MAPIGO HURU KAMILI KUMVAA MNYAMA

MKALI wa mapigo huru ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania, Joele Bukuru aliyekuwa akicheza kikosi cha Simba Queens yupo tayari kwa kazi akiwa na timu yake mpya ya Singida Fountain Gate. Ipo wazi kwamba kiungo huyo alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba Queens alikuwa akipewa majukumu ya mapigo huru ikiwa ni faulo, kona kaanza mazoezi…

Read More

DIAMOND AMTAJA ALIYEMSHIKA MKONO

NASIB Abdul msanii anayepeperusha bendera ya Tanzania kitaifa na Kimataifa wengi wanamtambua kwa jina la Diamond amefichua siri yake na Legend kwenye muziki wa Bongo Fleva Henry Samir wengi wanamtambua kwa jina la Mr Blue. Diamond ameweka wazi kuwa Blue alikuwa naye bega kwa bega kabla hajatusua kitaifa kwa kumshika mkono hatua kwa hatua akiwa…

Read More

INGIZO JIPYA SIMBA LIMEPEWA JEZI NGUMU

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba limepewa jezi ngumu ambayo ni namba 18 iliyokuwa inavaliwa na kiraka aliyeonja chungu na tamu na uwezo wake ulikuwa mkubwa kwenye kutimiza majukumu yake kila alipopewa nafasi. Michael Fredy ameanza mazoezi na wachezaji wa Simba akiwa ni mshambuliaji anayetarajiwa kubeba mikoba ya Jean Baleke ambaye amekutana na Thank…

Read More

DR CONGO WAIDUWAZA MISRI AFCON

TIMU ya taifa ya DR Congo iliyokuwa kundi F na timu ya taifa ya Tanzania imekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON). Ilikuwa katikà 16 bora dhidi ya Misri ya Mohamed Salah ambaye kagotea hatua hiyo na mpango wa kutinga nusu fainali umeyeyuka mazima. Wababe hao walitinga hatua ya…

Read More

NYOTA HUYU SIMBA QUEENS ASEPA NA MPIRA

NYOTA wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa amesepa na zawadi ya mpira baada ya kufunga hat trick katika Ligi ya Wanawake Tanzania. Hat trick hiyo ilipachikwa kipindi cha pili kwenye mchezo dhidi ya Alliance Girls uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Januari 27 2024. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba Queens 7-0 Alliance Girls ambao waliyeyusha…

Read More

SIMBA NA YANGA WAPINZANI WAO HAWA HAPA

AZAM Sports Federation Cup 2023/24 raundi ya pili inatarajiwa kupigwa ndani ya Januari baada ya ratiba kupangwa. Tayari Simba na Yanga wameshawajua wapinzani wao kwenye hatua hiyo ambapo mechi zinachezwa kwa mtindo wa mtoano atakayepoteza mchezo safari inamkuta. Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa mechi za nyumbani itamenyana na Dar City Januari 31 saa…

Read More

TABORA UNITED WAJIVUNIA MWAMBA HUYU

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa unajivunia uwepo wa nyota wao John Noble ambaye ni kipa namba moja wa timu hiyo. Tabora United ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda daraja zikiwa zinapambana kufanya vizuri kwenye ligi. Ofisa Habari wa Tabora United, Chritina Mwagala ameweka wazi kuwa wachezaji wao wanafanya kazi kubwa kwa ajili ya…

Read More

YANGA WANABALAA HAO, KAZI YAO IPO HIVI

YANGA baada ya kucheza mechi 11 za Ligi Kuu Bara imeambulia ushindi kwenye mechi 10 ikipoteza mchezo mmoja ikiwa haijapata sare ndani ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo ina balaa kutokana na kasi yao kuwa imara ndani ya ligi wakiwa wanatetea taji hilo ambalo walitwaa msimu wa 2022/23. Kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu Miguel…

Read More

KAZI IMEPAMBA MOTO AFCON

NIGERIA wamewafungashia virago Cameroon katika 16 bora Kombe la Mataifa Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 kazi ikizidi kupamba moto kwa kila timu kupambania ushindi. Ni balaa zito kwenye mashindano haya ambapo Tanzania yenye Mbwana Samatta, Kibu Dennis, Mzamiru Yassin, Dickson Job, Bacca iligotea hatua ya makundi na kuondolewa ikiwa na pointi mbili kibindoni. Kwenye…

Read More

MUDA WA KUFANYA KWELI NI SASA KILA KONA

KAZI kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri. Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) Tanzania ilikwama kutinga hatua ya 16 bora na kuishia kwenye hatua za makundi. Kwa maana hiyo kuna makosa ambayo wachezaji waliyaona na kushindwa kuyatumia…

Read More

Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…

Read More

REKODI HIZI HAPA ZA JEMBE JIPYA SIMBA

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba ambaye ni mshambuliaji rekodi zake zinaonekana kumbeba ikiwa zitajibu ndani ya Ligi Kuu Bara. Tayari nyota huyo ambaye ni mshambuliaji Michel Fredy ameanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake ndani ya Simba kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa. Rekodi zinaonyeshwa kwamba raia huyo Ivory Coast aliyekuwa kwenye…

Read More