
HUYU HAPA MRITHI WA MIKOBA YA KLOPP LIVERPOOL
JURGEN Klopp ataondoka mwishoni mwa msimu. Hili siyo suala la mjadala tena. It is true, Ni kweli kabisa kuwa ataondoka. Mjadala umewefungwa.Mjadala wa sasa ni nani haswa anaepaswa kuchukua mikoba yake?! Mtazamo wangu mimi uko kwa msaidizi wa Klopp. Pepjin Lijnders. Huyu ndie naemuona kama mrithi sahihi wa Klopp. Viashiria vipo vingi na tunaweza kujadili…