MRC Kigamboni Yaishukuru Meridianbet

Kituo cha watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya, MRC Muungano, Recovery Community leo hii wameishukuru meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea msaada wa chakula na vifaa vya usafi kama vile sabuni.   Baada ya kimya kingi sasa meridianbet wamekuja na kishindo kikubwa cha kurejesha kwenye jamii kama ambavyo huwa wanafanya ambapo leo hii zamu ilikuwa kwa…

Read More

TAIFA STARS KWENYE MIKONO YA MAKOCHA HAWA

KUELEKEA mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora katika Kombe la Mataifa Afrika, Tanzania inatarajiwa kushuka uwanjani kwa mara nyingine dhidi ya Zambia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Januari 21 baada ya ule wa kwanza kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Morocco.Ni Kocha Hemed Selemani Morocco, anachukua nafasi ya Adel Amrouche na…

Read More

NSUE ANAPIGA HESABU ZA UFUNGAJI BORA AFCON

MSHAMBULIAJI wa Equatorial Guinea, Emilio Nsue ametamba kuwa sasa anatamani kuwa mfungaji bora wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) ikiwa ni baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo wao dhidi ya Guinea Bissau. Nsue Alhamisi aliweka rekodi ya kipekee katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Ivory Coast baada ya kufunga mabao…

Read More

MWAMBA ALIYETAKIWA YANGA KAMWAGA WINO HUKU

SIMON Msuva winga mzawa ambaye yupo na timu ya Tanzania, Taifa Stars, Ivory Coast kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) amesaini dili la miaka miwili Klabu ya Cape Town City ya Afrika Kusini. Nyota huyo aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Yanga ambapo alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za kurejeshwa hapo kwa mara nyingine tena….

Read More