YANGA YAIPIGA MKWARA MWINGINE SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kushindwa kupata ushindi dhidi ya watani zao wa jadi ni mwanzo wa kulipa kisasi wakikutana kwenye mchezo wa ligi. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Agosti 13 ilishuhudia ikivuliwa taji la Ngao ya Jamii na watani wa Jadi Simba waliopata ushindi wa penalti 3-1 kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa…

Read More

MTIBWA SUGAR WAPOTEZA POINTI MBELE YA SIMBA

IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu. Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo wa ufunguzi Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Katika mchezo wa Agosti 17 Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar walikuwa imara kwenye mashambulizi ya kushtukiza pamoja na kujilinda kwa tahadhari huku…

Read More

MBABE WA KARIAKOO AMEFUNGUA AKAUNTI YA MABAO

PRINCE Dube nyota wa Azam FC amefungua akaunti ya mabao dakika ya tano kwa kufunga bao dhidi ya Kitayosce. Nyota huyo anayekipiga kwa matajiri wa Dar ni mbabe wa Simba kwa msimu wa 2022/23 kwa kuwatungua kwenye mechi za ligi zote mbili walipokutana. Katika dakika 180 msimu wa 2022/23 Dube alikuwa akiwapa tabu Simba yenye…

Read More

MTIBWA SUGAR 2-3 SIMBA

MCHEZO wa ufunguzi wenye ushindani mkubwa unachezwa Agosti 17, Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wakiwa ugenini ni mchezo wa Ligi Kuu Bara inashuhudia dakika 45 ikiwa mbele kwa mabao matatu. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya Miguel Gamond. Ubao wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 2-3 Simba. Mabao mawili ya…

Read More

MKALI WA MANUNGU KAMILI KUIKABILI MTIBWA SUGAR

MKALI wa Uwanja wa Manungu kwa msimu wa 2022/23 Jean Baleke yupo kamili kuikabili timu hiyo akiwa na kazi ya kuvunja rekodi yake aliyoandika kwenye uwanja huo. Ni Feisal Salum huyu aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ndani ya Azam FC ameandika rekodi ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick kwenye…

Read More

LIGI IMEANZA MATOKEO YASAKWE KWA HAKI, MUDA MCHACHE

TUMEONA namna Ligi Kuu Tanzania Bara ilivyoanza kwa kasi huku kila timu ikipambana kuonyesha uwezo wake ndani ya uwanja katika kutafuta ushindi na hii inaonyesha maandalizi yalikuwa bora. Pongezi kubwa kwa wachezaji ambao wameanza kuonyesha uwezo wao na hili linapaswa kuwa endelevu na sio kwenye mechi za mwanzo kisha mechi zinazofuatwa ikawa tofauti. Timu zote…

Read More

MTIBWA SUGAR WATUMA UJUMBE HUU SIMBA

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umebainisha kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya msimu mpya wakiwa tayari kwa mechi zote zinazowahusu. Timu hiyo inatumia Uwanja wa Manungu kwa mechi za nyumbani. Mchezo wake wa kwanza ni dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Agosti 17. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wapo tayari kwa ajili…

Read More

MSHIKAJI WA MBAPPE AUNGANA NA CR 7

Ligi Kuu ya nchini Saudi Arabia inayoitwa Roshn Saudi League  imezidi kuongeza nguvu ya mastaa wenye majina baada ya kumvuta staa wa PSG ndani ya ligi hiyo. Ni Klabu ya Al-Hilal rasmi imeinasa saini ya Mbrazil Neymar JR hivyo atakuwa kwenye timu hiyo msimu wa 2023/24. Nyota huyo aliyeng’ara na PSG ya Ufaransa na Barcelona…

Read More

AZAM FC WATEMBEZA MKWARA HUU, WANA JAMBO LAO

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa wanaoibeza timu hiyo watakutana na balaa kwenye ligi na mashindano mengine. Msimu wa 2022/23 Azam FC iligotea nafasi ya tatu kwenye ligi na lishuhudia Yanga ikitwaa taji la ligi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo iligotea nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Ngao ya…

Read More

JEMBE JIPYA LAANZA KAZI MSIMBAZI

WAKIWA kwenye milima ya Uluguru, Morogoro wachezaji wa Simba wameungana na kipa mpya Ayoub Lakred. Kipa huyo ni ingizo jipya ndani ya Simba ambapo anakuwa ni kipa wa kimataifa yeye ni raia wa Morocco na watani zao wa jadi Yanga wana kipa raia wa Mali, mdaka mishale Djigui Diarra. Agosti 15 ilikuwa ni siku yake…

Read More