
KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye mikono salama ya kocha wa muda ambaye amechukua mikoba ya Roberto Oliveira. Kocha Oliveira ambaye alikomba tuzo ya kocha bora ndani ya ligi Oktoba kutokana na mwendo wake bora alikutana na mkono wa asante Novemba 7 ikiwa ni baada ya kupoteza mchezo wa ligi dhidi…