
MGUNDA KWA REKODI HII ANASTAHILI PONGEZI
KWENYE mchujo wa fainali yao katika msako wa kocha bora mwezi Desemba 2022 ni mzawa Juma Mgunda kasepa na tuzo hiyo. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa kikao cha majadiliano kilifanyika Januari 7,Desemba 2023. Mgunda amewashinda wageni Hans Pluijm na Nasreddine Nabi ambao aliingia nao…