
METACHA NI NJANO NA KIJANI
KIPA Metacha Mnata ambaye ni kipa mzawa atkuwa ndani ya kikosi cha Yanga kinachopambana kutetea taji la ligi. Kipa huyo aliwahi kuitumikia Yanga kabla ya kukamilisha mkataba wake na kuachana naye kisha nafasi yake akaichukua Eric Johora. Johora hakuwa na mwendo mzuri ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa hakuwa na uhakika wa kuanza kikosi…