JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LAANZA KAZI

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar Vitalis Mayanga ataonekana ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani akitumia jezi namba 27. Alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania anaanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga. Mshambuliaji huyo msimu uliopita hakuwa kwenye mwendo bora ndani ya kikosi cha…

Read More

YANGA MIPANGO YAO IPO HIVI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora msimu huu ambapo imepoteza mchezo mmoja kati ya 20 kibindoni ina pointi 53. Mchezo wake wa fungua mwaka ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu katika mchezo uliochezwa Uwanja…

Read More

KUPATWA KWA PIRA DUBAI UWANJA WA MKAPA

DAKIKA 90 zilikuwa za kazi huku pira Dubai likionekana kupatwa tabu mbele ya Mbeya City ambao walionesha ushindani wakitaka kusepa na pointi. Dakika tatu ziliwatosha Mbeya City kusawazisha bao la Ntibanzokiza dakika ya 10 kupitia kwa Richardson Ngo’dya ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba. Kipindi cha pili Simba ilipata bao lililoonekana kulalamikiwa na wachezaji…

Read More

UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda.. Mchezo wa leo ni dhidi ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwenye mechi za nyumbani. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Katika…

Read More

IHEFU YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI MAPYA KUTOKA MSIMBAZI

NYOTA Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ingizo hilo jipya kutokana na kushindwa kuonyesha makeke uwanjani. Sababu kubwa ya kukwama kufanya vizuri ni kusumbuliwa na majeraha ambapo alitumia muda mwingi kupambania hali yake…

Read More

JEMBE JIPYA YANGA LAANZA MAZOEZI

BAADA ya kukamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Yanga, hatimaye kipa namba mbili wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza mazoezi. Ni Metacha Mnata ambaye alikuwa anakipga ndani ya Singida Big Stars iliyogotea nafasi ya pili hatua ya fainali kwenye Kombe la Mapinduzi 2023. Kwenye mchezo huo uliochezwa Januari 13, Mnata…

Read More