
DAWA YA WAARABU IMEPATIKANA, KAZI KWA MKAPA
DAWA ya Waarabu imepatikana, kazi kwa Mkapa Jumamosi
DAWA ya Waarabu imepatikana, kazi kwa Mkapa Jumamosi
KIKOMBE wanachokutana nacho wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ni cha moto ni muhimu kukishika kwa tahadhari na sio porojo. Kwa Yanga ambao Jumapili watacheza dhidi ya TP Mazembe na Simba ambao watacheza dhidi ya Raja Casablanca wote wapo kwenye eneo gumu na wasipofanya maandalizi mazuri itakuwa ngumu kwao kupenya. Nafasi za kushinda ni…
NGOMA ilikuwa ni nzito kwenye mchezo wa Europa League baada ya wababe wawili kutoshana nguvu kwenye mchezo huo. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Cam Nou ulisoma Barcelona 2-2 Manchester United. Ni mashuti 18 timu zote mbili zilipiga kuelekea kwenye lango la wapinzani wao huku Barcelona wao mashuti 8 yakilenga lango alilikuwa Degea…
KUHUSU Kurudi, ishu ya Yanga, Feisal ipo hivi, mabosi wawaweka kitimoto Baleke,Chama ndani ya Championi Ijumaa
KIPA namba tatu wa Yanga Aboutwalib Mshery atakuwa nje kwa muda wa msimu ambao umebaki kutokana na uendelea kupambania kurejea kwenye ubora wake, kila la kheri mpambanaji
KOCHA wa Simba, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa, watakuja kuzifunga timu zote kwenye Uwanja wa Mkapa wakianza na Raja Casablanca kwa kuwa wachezaji wake muhimu akiwemo Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ watakuwa fiti. Robertinho ameweka wazi kuwa, kilichowafanya wafungwe kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya wakiwa ugenini ni kukosa bahati…
KOCHA Mkuu wa TP Mazembe mwenye uraia wa Ufaransa, Franck Dumas amesema kuwa ubora wa wachezji wa Yanga kama Aziz Ki na Fiston Mayele ni sababu ya wao kuwa siriazi ili kupata matokeo. TP Mazembe wanatarajiwa kucheza na Yanga Jumapili katika Uwanja wa Mkapa ukiwa ndio mchezo wao wa kwanza ugenini mara baada ya kuanza…
KWENYE anga za kimataifa kilichowaua Simba ugenini kiliwamaliza Yanga pia ugenini kutokana aina ya mabao ya mapigo huru yaliyowapa tabu wawakilishi wa kimataifa. Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walianza kuonja joto ya jiwe kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Horoya ya Guinea ilikuwa ni Februari 11. Wakati ubao wa Uwanja wa General Lansana…
KOCHA Mkuu wa Manchester City amekiongoza kikosi hicho kusepa na ushindi mbele ya Arsenal. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England licha ya kwamba walikuwa ugenini waliwashushia kichapo wenyeji wao na kusepa na pointi tatu mazima Februari 15,2023 na kuongoza ligi. Baada ya zile dakika 90 za jasho ubao wa Uwanja wa Emirates pale kwa washika…
SIMBA: Mwarabu anakufa nne, Yanga yaiwekea mtego TP Mazembe ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
Pata Odds kubwa na bomba kutoka Meridianbet mabingwa wa ubashiri na kasino ya mtandaoni, Leo Ligi ya Uropa na Europa Conference League zote zitaendelea kwa siku mbili Alhamisi na Ijumaa, mechi kubwa ni FC Barcelona vs Manchester Utd. Jiunge na Meridianbet upate odds kubwa, lakini pia kasino ya mtandaoni yenye michezo kama Poker, Aviator, Roulette…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya TP Mazembe huku yale yaliyotokea Tunisia wakiyaweka kando. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ilishuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga kwenye mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Jana msafara wa…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ni kupata ushindi. Ni Februari 18,2023 Simba ina kazi nzito ya kusaka ushindi dhidi ya vigogo Raja ambao wanaongoza kundi C wakiwa wametoka kuwatungua Vipers mabao 5-0. Leo Februari 15,2023 Simba imefanya uzinduzi wa kampeni…
IMEELEZWA nyota wa Yanga Feisal Salum amepata ajali lakini yupo salama huko visiwani Zanzibar baada ya kugongana na bodaboda. Nyota huyo kwa sasa yupo Zanzibar baada ya kuwa kwenye sakata la mvutano na mabosi wake wa Yanga. Yanga wao wanahitaji mchezaji arejee ndani ya kikosi hicho kwa kuwa bado ana mkataba huku mchezaji akihitaji kuondoka.
FEBRUARI 14 2023 kikosi cha Azam FC kilifanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwakabili mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2023 leo Februari 15,2023. Mlandege ambao waliwashangaza mabingwa watetezi Simba pamoja na watani zao wa jadi Yanga kushuhudia wakitwaa ubingwa leo wanakibarua cha kumenyana na Azam FC. Ni mchezo wa kirafiki ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama,Aishi Manula, Pape Sakho, Shomary Kapombe wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapambana kupata matokeo kwenye mechi zote za hatua ya makundi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akishirikiana na Juma Mgunda ilianza kwa kuambulia kichapo ugenini ubao uliposoma Horoya 1-0 Simba mchezo wa Ligi…