
YANGA NDANI YA MALI KUWAVAA BAMAKO
MSAFARA wa Yanga ndani ya Mali kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Februari 26. Kikosi hicho kilikwea pipa na Shirika la Ndege la Ethiopia tayari kwa ajili ya kuwavaa Real Bamako. Yanga ina pointi tatu kibindoni baada ya kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe na ilitunguliwa mchezo wa…