
VIDEO:ULIKOSA KUMUONA FEI TOTO AKITINGA TFF? HUYU HAPA
uLIKOSA kumuona Fei Toto akitinga TFF? Huyu hapa
uLIKOSA kumuona Fei Toto akitinga TFF? Huyu hapa
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Vipers Uwanja wa Mkapa Aishi Manula Shomari Kapombe Henock Inonga Joash Onyango Mohamed Hussein Mzamiru Yassin Sadio Kanoute Clatous Chama Saidi Ntibanzokiza Pape Sakho Moses Phiri Akiba Beno Kakolanya Israel Mwenda Kennedy Juma Jonas Mkude Peter Banda Erasto Nyoni John Bocco Jean Baleke Habib Kyombo
VIONGOZI wa Klabu ya Yanga ikiwa ni pamoja na Rais Injnia Hersi Said leo Machi 7,2023 leo mchana walishiriki kwenye mazishi ya kumuaga mtoto wa mchezaji Salum Abubakar, Magomeni, Dar es Salaam. Pia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi naye alikuwa miongoni mwa waliohudhuria. Kwa mujibu wa Nabi, kiungo huyo hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachopambana…
MOHAMED Mussa mshambuliaji wa kikosi cha Simba ni miongoni mwa mastaa ambao wameanza mazoezi kuikabili Vipers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers leo Machi 7 ikiwa ni mchezo wa nne katika kundi C kwenye mchezo uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa St Mary’s ukisoma…
IKIWA imefungashiwa virago kwenye Kombe la Azam Sports Federation ubao wa Uwanja wa Manungu uliposoma Mtibwa Sugar 1-0 KMC kuna kibarua kingine kizito kinawakabili. KMC chini ya Kocha Hitimana Thiery haijawa na mwendo mzuri kwenye mechi zake za ligi na sasa matumaini ya kutwaa taji la Azam Sports Federation yameyeyuka baada ya kuondolewa hatua ya…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji kuvunja rekodi ya mabao waliyowafunga TP Mazembe kwenye mchezo wa kimataifa. Timu hiyo ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Machi 8 in kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako ambapo mchezo wao uliopita waligawana pointi mojamoja nchini Mali. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema…
HESHIMA ya Uwanja wa Mkapa kwenye mechi za kimataifa ni ushindi hilo linawastahili Watanzania na mashabiki wote ambao wanapenda matokeo mazuri. Ipo hivyo kwa sasa wawakilishi wetu kwenye anga la kimataifa Yanga na Simba wanakazi kubwa kusaka pointi tatu muhimu. Simba wataanza kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo watakabiliana na Vipers mchezo ambao…
KIKOSI cha Simba jana Machi 6,2023 kilifanya mazoezi ya mwisho Kwa ajili ya kuikabili Vipers mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya makundi. Simba ambayo ipo kundi C ikiwa na pointi tatu nafasi ya tatu Leo ina kibarua cha kusaka pointi nyingine Uwanja wa Mkapa Saa 1:00 usiku. Katika mazoezi hayo wachezaji…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
The wait its over! Mbivu na mbichi kujulikana ni timu gani itafuzu hatua ya robo fainali ya UCL, ni mechi za marudiano zikikwa zimepewa Odds kubwa Meridianbet, wakali wa kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Poker, Aviator na Roulette. ODDS kubwa Jumanne ya Kibabe Chelsea atakuwa nyumbani katika dimba lao la utawala…
IDDY Mobby aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar baada ya kutangulia mbele za haki mwili wake umepelekwa leo Machi 6,2023 nyumbani kwao mkoani Shinyanga. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Machi 07, 2023. Beki huyo ambaye amewahi kucheza Polisi Tanzania alipokuwa ni nahodha taarifa za kutangulia mbele za haki zilitolewa Machi 5. Alikutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu….
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mashabiki ni muhimu kwenye mchezo wao dhidi ya Vipers ambao ni Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kila mtu atatimiza wajibu wake kupata ushindi…
NYOTA Yacouba Songne amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Yacouba kwa sasa yupo ndani ya Ihefu ambapo aliibuka hapo akitokea kikosi cha Yanga ambapo alisitisha mkataba wake. Ni Meddie Kagere wa Singida Big Stars na Elias Maguli wa Geita Gold hawa alikuwa nao kwenye fainali wakishindania tuzo hiyo….
AZAM FC imekamilisha idadi ya timu 8 ambazo zimetinga hatua ya robo fainali Azam Sports Federation. Timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mapinduzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo wa hatua ya 16 bora ulikuwa ni wa mwisho kwa Machi 5 ambapo ule wa awali kabisa ulichezwa saa…
LIVERPOOL hawakuwa na huruma kwenye mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kushinda jumla ya mabao 7 huku wakisepa na pointi tatu mazima. Ni Cody Gakpo alitupia kambani mabao mawili dakika ya 43 na 50, Darwin Nunez pia alitupia kambani mbili dakika ya 47 na 75. Mohamed Salah alitupia mawili dakika ya 66 na 83…
Mgunda apewa shoo ya Vipers, Bamako watua na jina la Mayele ndani ya Championi Jumatatu.
TAARIFA za awali zinaeleza kuwa nyota wa wa Mtibwa Sugar yenye maskani yake Morogoro, Iddy Mobby ametangulia mbele za haki. Mobby amekamilisha mwendo akiwa kwenye matibabu kwenye Hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye Hospital ya kiwanda. Inaarifiwa kwa mujibu wa watu wa karibu na Mtibwa ni kuwa beki…