
CHAMA, NTIBANZOKIZA KWENYE MAJUKUMU MAPYA CAF
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mitambo yao yote ya kazi katika kikosi hicho ina kazi maalumu ya kufanya kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Raja Casablanca ugenini. Katika kundi C, Raja ni vinara wakiwa na pointi 13 kwenye mechi tano ambazo wamecheza hawajapoteza hata mmoja zaidi ya kuambulia sare moja na wameshinda nne. Katika…