PUMZIKA KWA AMANI NISHER
MTAYARISHA wa video za muziki Bongo, Nic Davie maarufu kwa jina la Director Nisher amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, saa nane na dakika tisa. Taarifa za kifo cha Nisher zimethibitishwa na familia yao, ambapo kupitia akaunti za mitandao ya kijamii, wameandika. “Familia ya Nabii Mkuu, Dkt. Geordavie inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa,…