
NGAO 2023: SIMBA QUEENS YATINGA FAINALI KWA KUICHAPA YANGA PRINCESS
Kikosi cha Timu ya Soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam Timu hizo zilifika hatua hiyo baada ya matokeo ya 0-0 katika muda wa kawaida, hivyo Simba Queens…