
HUU WAKATI SAHIHI MASHABIKI SIMBA WAAMUE KUWA DAWA AU SUMU
HAKUNA ubishi, huu ndio wakati mashabiki wa Simba wanapaswa kuonyesha ukomavu wao baada ya mambo kwenda mlama. Kipigo cha bao 5-1 ambacho walikipata kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga, hakikuwa cha kutarajiwa. Hakuna shabiki wa Yanga alitarajia timu yake ingekuwa na uwezo wa kushinda kwa mabao Matano dhidi ya Simba. Kwa upande wa Simba…