YANGA HAWANA JAMBO DONGO, WATUPA DONGO SIMBA KIMTINDO KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mashindano ya kimataifa yanahitaji timu yenye maandalizi ya kweli na kama itakuwa ni porojo kufikia malengo itakuwa ngumu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga, Ali Kamwe ameweka wazi kuwa walikuwa nje ya nchi na waliwaacha wengine ambao walikuwa na kazi ya kuwakilisha taifa kwenye mechi za kimataifa…