KAMATA MAOKOTO YA KUTOSHA MERIDIANBET

Je, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure?  Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni?  Basi usikose nafasi hii ya kujiunga na Promosheni hii mpya kutoka Meridianbet. Promosheni ya “Jichukulie Maokoto na Halopesa” Inafanya kazi pale ambapo mteja wa Meridianbet ataweka pesa TZS 10,000 au zaidi, na…

Read More

HIVI NDIVYO MZAMIRU ALIVYOFANYA MAADILIKO YA KANOUTE CAF

KWENYE mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba 1-1 Power Dynamow, Mzamiru alikomba dakika 58 nafasi yake ikachukuliwa na Willy Onana ambaye ni kiungo mkabaji. Akiwa benchi Simba ilipata bao dakika ya 69 muda mfupi baada ya kiungo huyo mkabaji kutoka. Alipotazama wapinzani wao wanashambulia kwa kasi hakuna kiungo mkabaji wa asili, akitazama benchi yupo…

Read More

WAMOROCCO WANAWASHANGAA WACHEZAJI WA TANZANIA

WACHEZAJI wengi waliopo Tanzania wamekuwa na kiwango kikubwa cha uchezaji lakini hawakuwahi kupitia katika shule za soka maarufu kama Academy. Ili mtoto awe bora ni lazima aanze kulelewa tokea akiwa mdogo akipata mafunzo ya mchezo husika ambao yeye anataka kuutumikia hapo baadaye. Watoto wengi wa Ulaya wamepata bahati kubwa ya kuwa na vyuo bora vya…

Read More

AFCON IPO VIZURI, MAANDALIZI MUHIMU

UWEKEZAJI mkubwa ambao unafanyika kwenye soka la Tanzania unaonekana. Kila siku milango ya fursa inazidi kufunguka, hili ni jambo kubwa ambalo linapaswa kuwa endelevu. Tumeona namna ambavyo nafasi ya dhahabu ya kuandaa AFCON 2023 ilitangazwa, nchi tatu za Afrika Mashariki kupewa jukumu hilo. Uganda, Kenya na Tanzania zina kazi ya kufanya kwa maandalizi. Hii ina…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KUJIPANGA UPYA

FUTURE FC ya Misri imewafungashia virago Singida Fountain Gate ya Tanzania katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika. Oktoba Mosi, 2023 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Al Salaam, ulisoma Future 4-1 Singida Fountain Gate. Bao pekee la Singida Fountain Gate lilipachikwa na nyota Marouf Tchakei kwenye mchezo huo ambao Singida…

Read More

SIMBA YATINGA HATUA YA MAKUNDI, KOCHA AWAKA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa umakini kwenye umaliziaji nafasi uliwaponza. Simba wanatinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-3 faida ya mabao ya ugenini kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao ulisoma Power Dynamos…

Read More

PHIRI: TUNAFUNZU HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Moses Phiri ametamba kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajii ya mchezo wa marudiano dhidi ya Power Dynamos, huku akitamba kuwa Simba itaibuka na ushindi na kufuzu makundi ya mashindano hayo. Simba leo Jumapili watakuwa wenyeji wa Dynamos katika mchezo ambao unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar. Ni…

Read More

REKODI MPYA KWA YANGA KIMATAIFA

HATIMAYE Yanga imetinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupita miaka 25. Ushindi wa bao 1-0 Al Merrikh, Uwanja wa Azam Complex umewapa tiketi ya kuvunja rekodi hiyo. Bao la mzawa Clement Mzize dakika ya 66 limetosha kuwapa ushindi Yanga kwenye mchezo wa nyumbani. Ni ushindi wa jumla ya mabao 3-0…

Read More

MWAMBA AJAZWA UPEPO SIMBA ATUMA UJUMBE KWA WAZAMBIA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia washambuliaji wake wakiongozwa na Jean Baleke kutumia vyema kila nafasi watakayoipata ili wapate bao la mapema ndani ya dakika 10 kuwavuruga wapinzani wao Power Dynamos ya nchini Zambia. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana leo Jumapili saa 10 kamili jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi jijini Dar….

Read More