KASI YA LIGI ISIPOE, KAZI JUU YA KAZI

LIGI Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi kutokana na maandalizi ambayo yalifanywa na timu zote. Ni burudani iliyokuwa imekosekana kwa muda na sasa ni msimu mpya. Ipo wazi kuwa kabla ya ligi kusimama mashabiki walipata ile ladha ya mpira waliyoikosa kwa muda. Hakika pongezi kwa wachezaji namna walivyoanza kwa kujituma kusaka ushindi. Muda uliopo kwa…

Read More

STARS KAZINI LEO, SARE TU AFCON HII HAPA

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria. Katika mchezo huu wa leo kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrka, (AFCON 2023). Stars inahitaji sare ikiwa kundi G inashika nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kukusanya pointi…

Read More

NBC YAZINDUA NEMBO MPYA YA CHAMPIONSHIP

NI Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Septemba 7 imezindua rasmi chapa mpya ya Ligi ya Daraja la Kwanza (championship). Ligi hiyo kwa sasa inafahamika kwa jina la NBC Championship hatua ambayo imekwenda sambamba na uzinduzi wa mashindano hayo ya soka yanayotarajiwa kuanza Septemba 9. Ujio wa…

Read More

YANGA KAZI BADO INAENDELEA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi sita na safu ya ushambuliaji imetupia mabao 10. Licha ya kuwapa mazoezi kwenye kambi ya AVIC pia Gamondi aliwapeleka vijana wake ufukweni kuendelea…

Read More

WAKATI WA MAPUMZIKO KAZI IENDELEE

WAKATI wa mapumziko wachezaji wengi wamekuwa wakiendelea na maisha ya kawaida nje yay ale waliyokuwa wakiishi walipokuwa kambini ama wakati wa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Singida Fountain Gate hawa wapo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Yanga na Simba wakiwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Kazi yao inapaswa kuwa kubwa kupeperusha bendera…

Read More