
HAWA HAPA WAMEBEBSHWA KAZI NA KOCHA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia wachezaji wake wapya kuwa sasa ni muda wao muafaka wa kuonyesha thamani yao katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inatarajiwa kuanzia ugenini nchini Zambia dhidi ya Power Dynamos katika hatua ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo utakaopigwa Septemba 15, mwaka huu. Kikosi…