
ANSU FANTI NDANI YA BRIGHTON
RASMI sasa mshambuliaji Ansu Fati atavaa jezi za Brighton baada ya Alhamisi kukamilisha dili lake la kujiunga na timu hiyo kwa mkopo akitokea Barcelona. Fati ametolewa kwa mkopo Brighton baada ya kushindwa kumshawishi kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez licha ya awali kuonekana kinda huyo atafanya makubwa kikosini hapo kiasi cha kukabidhiwa jezi namba 10 iliyovaliwa…