
MASTAA YANGA WAPIGWA STOP NA GAMONDI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amewashtukia wapinzani wao katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Merrikh ya Sudan kwa kuamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wa timu hiyo na kuingia kambini na kuanza maandalizi kuelekea katika mchezo huo. Yanga ambao imeanza msimu huu kwa mafanikio kutokana na kutoa vipigo vizito katika Ligi…