>

YANGA 2-0 ASAS DJIBOUT

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Azam Complex ubao unasoma Yanga 2-0 ASAS Djibout. Ni dakika 45 za burudani kwa Wananchi ambapo wameshuhidia bao la kwanza likifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 7 akiwa ndani ya 18. Kazi ya pili inayowapeleka Yanga mapumziko wakiwa mbele ni mguu wa Konkoni dakika ya 44 akiwa…

Read More

ISHU YA SALAH KUUZWA UARABUNI IPO HIVI

JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…

Read More

AZAM FC YATAJA SABABU YA KUKWAMA KIMATAIFA

YUSUPHU Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa wamegotea nafasi ya awali katika Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na kushindwa kutumia nafasi. Azam FC imeyaaga mashindano hayo kwa jumla ya penalti 3-4 baada ya matokeo ya jumla kuwa 3-3. Mchezo wa kwanza ugenini ilishuhudia ubao ukisoma Bahir Dar 2-1 Azam FC katika mchezo…

Read More

SIMBA YAJA NA ONYO ZITO

LICHA ya kufanikiwa kuibuka na pointi sita katika michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaonya mastaa wa timu hiyo. Miongoni mwa nyota hao ni Clatous Chama na Luis Miqquisone kuhakikisha hawabweteki bali wanapambana kuhakikisha wanashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ipo wazi kuwa Simba…

Read More