
VIDEO:SIRI YA ONYANGO, MKUDE, NYONI IPO HIVI
SIRI ya Joash Onyango, Jonas Mkude, Erasto Nyoni kuachwa imetajwa huku Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga naye akizungumziwa
SIRI ya Joash Onyango, Jonas Mkude, Erasto Nyoni kuachwa imetajwa huku Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga naye akizungumziwa
NAMUNGO FC imemtambulisha rasmi nyota wa zamani wa Simba, Erasto Nyoni kuwa mali yao kwa msimu wa 2023/24. Nyoni ni kiraka anayefiti kila eneo ambalo atapangwa kucheza na benchi la ufundi iwe kwenye eneo la ukabaji, ulinzi na ushambuliaji uwezo wake unahamia Namungo. Uwezo mkubwa ni kutumia mguu ule wa kulia ambao umekuwa ukifanya kazi…
BAADA ya kupewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Yanga winga Dickson Ambundo kuna uwezekano mkubwa akarejea katika kikosi cha Dodoma Jiji. Ambundo anaingia kwenye rekodi ya kuwa mzawa aliyeingia kwenye orodha ya wachezaji waliofika katika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea nafasi ya pili. Pia akiwa Yanga ni miongoni…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema jumla ya wachezaji watatu tayari usajili wao umekamilika na kilichobaki ni kuwatambulisha. Timu hiyo imeshuhudia ubingwa ukienda Yanga iliyokamilisha msimu ikiwa namba moja na pointi 78. Yanga ipo kwenye mchakato . Wachezaji wanaotajwa kumalizana na Simba hadi hivi sasa kwa kuwapa mikataba ya miaka miwili ni…
IKIWA imekamilisha msimu wa 2022/23 na mataji mkononi kesho Juni 24 Wanachama wa Yanga wanatarajiwa kufanya mkutano mkuu. Yanga imetwaa mataji yote iliyokuwa inapambania kwenye ardhi ya Bongo ikiwa ni pamoja na Ngao ya Jamii, ligi na Kombe la Azam Sports Federation. Kwenye anga la kimataifa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika imegotea nafasi ya…
LEGEND Jonas Mkude anaingia katika orodha ya Thank You huku akinyimwa maua yake. Amevuja jasho kuipambania nembo ya Simba akiwa ni miongoni mwa nyota waliocheza mechi nyingi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga hili sio jambo dogo ujue. Kupata nafasi kikosi cha kwanza mbele ya watani wa jadi Yanga katika kikosi cha Simba inaonyesha…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
BENI Kakolanya kipa wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota ambao watakuwa kwenye changamoto mpya msimu ujao. Kipa huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Yanga ilichokuwa kinanolewa na Mwinyi Zahera. Ndani ya Yanga Kakolanya alifanya kazi kubwa ikiwa ni kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi alipookoa hatari zaidi ya 7 na kuliweka lango salama….
MWAMBA huyu hapa Cristiano Ronaldo anaingia kwenye rekodi nyingine ya dunia. Kitabu cha rekodi cha dunia maarufu kama Guinness kimeandika jina lake akiwa ni nyota wa kwanza kucheza mechi 200 akiwa na timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hiyo mpya aliiandika juzi wakati Ureno ikicheza dhidi ya Iceland katika kufuzu michuano ya EUERO na Ureno…
MZUNGUKO wa dunia unavyozidi kwenda na matukio yanaongezeka na kwenye ulimwengu wa mpira kila wakati kumekuwa kuna mabadiliko ambayo yanatokea. Ndani ya kikosi cha Simba kuna beki wa kazi Joash Onyango ambaye amekuwa akionekana kwenye uvurugaji mara nyingi jambo linalowavuruga mashabiki pamoja na viongozi kwamba asepe ama abaki. Licha ya yote hayo beki huyo anahitaji…
AHMED Abdallah afunguka Yanga kumpa kazi Ibenge kuinoa timu hiyo,Yanga kwa sasa ipo kwenye hesabu za kumsaka mbadala wa Nasreddine Nabi aliyekuwa akiinoa Yanga
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utafanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi kwenye upande wa usajili ili kuongeza wachezaji imara ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao. Ni Roberto Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amewaomba viongozi wa timu hiyo kuongeza wachezaji wawiliwawili kila idara ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi kwa msimu ujao wa…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa hawana jambo dogo linapokuja suala la kuboresha kikosi hicho kwa kuhakikisha kila wanayemhitaji anabaki. Timu ya Yanga imekamilisha msimu wa 2022/23 ikiwa na mafanikio ya kutwaa taji la ligi, Ngao ya Jamii, Azam Sports Federation na imecheza fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kuna wachezaji ambao wanatajwa kutaka…
MZEE wa kuchetua Bernard Morrison kiungo aliyezivuruga kwa nyakati tofauti nyavu za makipa wa Bongo akiwa mitaa miwili tofauti. Akiwa ndani ya Yanga alimtungua Aishi Manula kwenye Kariakoo Dabi na hapo jina la mchetuaji likapatikana. Uwezo wake ukwavutia mabosi wa Simba wakampa dili la miaka miwili akiwa huko alionyesha uwezo ikiwa ni kwenye mechi za…
MUDA mchache wanasema mambo ni mengi ila ili yote yaende kwa umakini jambo la muhimu kuzingatia ni mpangilio kwenye kila hatua. Ni kuanzia Singida Big Stars ambao wamekuwa na msimu mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza wanapaswa kuwa na mwendelezo. Kwa sasa Singida Big Stars inaitwa Singida Fountain Gate FC hivyo…
KIFAA cha kwanza rasmi Yanga, Robertinho avujisha usajili Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
KUELEKEA msimu wa 2023/24 mabosi wa Azam FC wamemuongezea dili la miaka mitatu nyota Sospeter Bajana. Nyota huyo bado ataendelea kusalia ndani ya Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex mpaka 2026. Ikumbukwe kwamba Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye fainali ya Azam Sports Federation baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Yanga. Yanga…