YANGA WAPEWA HEKO NA RAIS SAMIA, WAITWA IKULU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameialika timu ya Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni Juni 5, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Juni 4 imeeleza hivyo. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Rais ameialika Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni…

Read More

AZAM FC KUFUNGA MSIMU NA KETE HIZI

UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa unatarajia kufunga msimu wa 2022/23 kwa mechi tatu za jasho na damu. Kwenye mechi hizo moja itakuwa ni fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Tanga. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kwa mechi hizo zilizobaki ili kupata matokeo mazuri. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema wanatambua…

Read More

MASTAA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MENGINE

HENOCK Inonga beki wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo. Nyota hao wanakwenda kwenye majukumu mengine kupeperusha bender za timu zao za taifa. Inonga mwenye  tuzo ya beki bora msimu wa 2021/22 anaitetea tena kwa msimu wa 2022/23 baada ya kuwa kwenye orodha ya mastaa wanawania tuzo…

Read More

KIMATAIFA: USM ALGER 0-1 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Julai 5 nchini Algeria unasoma USM Alger 0-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za kwanza. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga imepata bao la mapema katika fainali ya pili itakayoamua mshindi wa Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la kuongoza kwa Yanga limefungwa na Djuma Shaban dakika ya 6 kwa pigo…

Read More

MANCHESTER UNITED KWENYE HESABU ZA MASON

INAELEZWA kuwa Manchester United wamefanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kuipata saini ya kiungo Mason Mount, Sky Sports News imeambiwa. Hata hivyo hakuna ofa rasmi ambayo imetolewa kwa kiungo huyo wa Chelsea. Ikiwa makubaliano yanaweza kutekelezwa, inafikiriwa kuwa masharti ya kibinafsi hayatarajiwi kuwa tatizo. Mkataba wa Mount Chelsea unamalizika msimu ujao. Manchester United wamefanya maswali kadhaa…

Read More

NAMUNGO FC WAPIGA HESABU KUMALIZANA NA DODOMA JIJI

KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji Timu hiyo ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa AzamComplex. Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa…

Read More

SIMBA WAJA NA GIA NYINGINE

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Kocha huyo alikiongoza kikosi cha Simba kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa. Henock Inonga na Kibu Dennis hawa ni nyota waliofunga mabao kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…

Read More

ZIMEMALIZA TOP 4 ULAYA MARA NYINGI ZAIDI

PREMIER League msimu wa 2022/23 ulimalizika juzi Jumapili na kushuhudia Manchester City wakibeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo huku Arsenal akimaliza ndani ya nne bora na sapraiz pia kutoka kwa Newcastle. Baada ya misimu 31, Manchester United inazidi kutawala ndani ya top four mbele ya vigogo wengine kutoka Premier. Klabu nyingi kwa sasa…

Read More

WANANCHI KIMATAIFA UGENINI WANA ZALI

WAKATI leo Juni 3 Yanga ikitarajiwa kutupa kete ya pili kwenye mchezo wa fainali dhidi ya USM Alger ya Algeria rekodi zinaonyesha kuwa wamekuwa wakifanya balaa ugenini. Katika mechi 11 ambazo Yanga wamecheza baada ya kutinga hatua ya makundi ni mechi tano ilicheza ugenini huku ikiambulia kichapo kwenye mechi moja pekee. Rekodi zinaonyesha kuwa Yanga…

Read More

YANGA KAMILI KUWAVAA WAARABU KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mchezo dhidi ya USM Alger kwenye fainali ya pili ugenini. Waarabu hao wa Algeria wanafaida ya mabao mawili waliyopata ugenini mbele ya Yanga huku mtupiaji wa bao la Yanga akiwa ni Fiston Mayele. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao…

Read More