
THANK YOU KAKOLANYA
BENI Kakolanya kipa wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota ambao watakuwa kwenye changamoto mpya msimu ujao. Kipa huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Yanga ilichokuwa kinanolewa na Mwinyi Zahera. Ndani ya Yanga Kakolanya alifanya kazi kubwa ikiwa ni kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi alipookoa hatari zaidi ya 7 na kuliweka lango salama….