>

AZAM FC YAITULIZA COASTAL UNION, MBOMBO ATUPIA

IDRIS Mbombo nyota wa Azam FC amefikisha bao lake la 8 Uwanja wa Mkwakwani wakisepa na pointi tatu dhidi ya Coastal Union. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo ubao umesoma Coastal Union 0-2 Azam FC. Mbombo alitupia kambani bao la kuongoza dakika ya 58 ambalo liliwaongezea nguvu Azam FC. Kwenye mchezo huo dakika…

Read More

SIMBA 3-0 POLISI TANZANIA

UBAO wa Uwanja wa Azam Complex unasoma Simba 3-0 Polisi Tanzania. Ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kukamilisha msimu wa 2022/23. Ni mabao ya Saido Ntibanzokiza ambaye amefunga hatrick ndani ya dakika 10 za mchezo huo. Nyota Jean Baleke amekwama kusepa na dakika 90 baada ya kupata maumivu dakika ya 15 nafasi yake…

Read More

MBEYA CITY WAGAWANA POINTI NA YANGA, MORRISON AWACHETUA

MBEYA City wamekubali kugawana pointi mojamoja na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Sokoine. Ni Mbeya City walitangulia kufunga mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa George Sangija dakika ya pili na lile la pili likifungwa na Richardson Ng’odya aliyefunga mabao mawili. Bao la pili alifunga dakika 53 ikiwa ni kipindi cha…

Read More

PETER BANDA NDANI YA NYUMBA SIMBA

PETER Banda kiungo wa Simba ni miongoni mwa wale watakaonza leo Juni 6,2023 kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons. Ni mchezo wa mzunguko wa pili ikiwa ni mzunguko wa pili. Banda hajawa kwenye ubora msimu huu kutokana na kupambania afya yake muda mrefu. Ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi…

Read More

MBEYA CITY 2-0 YANGA, LIGI KUU BARA

UBAO wa Uwanja wa Sokoine Mbeya unasoma Mbeya City 2-0 Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Mbeya City wameanza kwa kasi kupachika bao la kuongoza dakika ya pili kupitia kwa George Sangija. Bao la pili limepachikwa na Richardson Ng’odya dakika ya 43 akiwa ndani ya 18. Jitihada za mastaa wa…

Read More

SPIKA WA BUNGE USO KWA USO NA VIONGOZI WA SIMBA

JUNI 6,2023 Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu. Mbali na Mangungu pia Mkurugenzi Mtendaji, Imani Kajula ni miongoni mwa viongozi waliokuwa kwenye mazungumzo hayo yaliyofanyika ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Viongozi hao waliambatana Mjumbe wa Bodi na Mwenyekiti wa Tawi…

Read More

YANGA NA SHANGWE NDANI YA MBEYA

BAADA ya kuwa kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kikosi cha Yanga leo kitakuwa na kazi Mbeya. Wachezaji wa Yanga pamoja na Benchi la ufundi Juni 5, 2023 walikuwa kwenye halfa ya pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Safari…

Read More

MTAMBO WA MABAO WAPIKWA UPYA SIMBA

MTAMBO wa mabao ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira unaendelea kupikwa upya kwa ajili ya mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara. Timu hiyo ikiwa imegotea nafasi ya pili na pointi zake 67 ina kete mbili za kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya ligi msimu wa 2022/23 vinara wakiwa ni Yanga. Mbali na…

Read More

ZIMETUPIA MABAO MENGI BONGO

MTIFUANO mkubwa kwa wachezaji kusaka pointi tatu ndani ya uwanja unabebwa na kasi ya kuzitungua nyavu za walinda mlango ndani ya uwanja. Suala la kufunga ni muhimu ambapo kwa msimu wa 2022/23 mabingwa wa ligi ni Yanga. Kila timu ina mbinu zake kwenye kusaka ushindi na kuamua matokeo jambo linalofanya kila kitu kuwa kama ambavyo…

Read More

HIZI HAPA ZITAKUWA KWENYE KIVUMBI LEO

KIVUMBI na jasho kinatarajiwa kutimka leo kutokana na mzunguko wa pili kuendelea katika Ligi Kuu Bara 2022/23. Timu moja tayari imeshashuka daraja ambayo ni Ruvu Shooting inayonolewa Mbwana Makata na mabingwa ni Yanga. Bado timu moja inasakwa itaungana  Ruvu Shooting Championship na mbili zitacheza hatua ya mtoano. Kesi ya ubingwa imeshafungwa ambapo mabingwa ni Yanga…

Read More