>

MWAMBA HUYU HAPA KWENYE HESABU ZA SIMBA

THIERRY Manzi raia wa Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo msimu ujao. Simba imepishana na ubingwa ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Yanga pia imetinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation iliposhinda mbele ya Singida Big…

Read More

YANGA HESABU KWENYE FAINALI KIMATAIFA

BAADA ya kukamilisha mchezo wao wa hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation msafara wa Yanga umerejea salama Dar wakianza hesabu kwenye mchezo wao wa kimataifa. Ni Mei 21 kikosi kilikuwa Uwanja wa Liti, Singida na ubao ulisoma Singida Big Stars 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Fiston Mayele ambaye aliingia…

Read More

AZAM FC WANA TAJI MOJA MKONONI LIKIYEYUKA NDO BASI TENA

HAKUNA Prince Dube, hakuna Ayoub Lyanga hata Abdul Suleiman, ‘Sopu’ naye ndani ya kuwania tuzo za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Wakati mwingine tuzo huwa zinakuwa ni kipimo cha ubora na muda mwingine ni kipimo cha kuongeza hasira za mapambano. Haina maana kwamba wachezaji wa Azam FC hawana ubora haina maana kwamba waliotajwa kwenye…

Read More

UTATU HUU SIMBA UNA BALAA ZITO

UTATU wa nyota watatu ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira una balaa kutokana na kasi yao kwenye kufunga na kutengeneza nafasi za mabao. Ipo wazi kuwa Yanga ni mabingwa wakiwa na pointi 74 kibindoni na kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Nyota Mayele amekuwa kwenye ubora ndani…

Read More

JOB NI MVUJA JASHO KINOMANOMA

BEKI mzawa Dickson Job ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi ya kuwa mvuja jasho namba moja kwa wachezaji katika eneo la ukabaji. Nyota huyo kacheza mechi 22 akivuja jasho ndani ya dakika 1,890 kwenye kuipambania nembo ya jezi ya Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara. Job kutoka zilipo safu za milima ya Uluguru…

Read More

YANGA HAO FAINALI, WAILIZA SINGIDA BIG STARS LITI

MFUNGAJI mwenye kasi ya hatari kuwatesa makipa ndani ya Bongo msimu wa 2022/23 amepachika bao pekee la ushindi katika hatua ya nusu fainali ya pili ya Azam Sports Federation yupo Yanga. Anaitwa Fiston Mayele amemtungua Benedick Haule wa Singida Big Stars dakika ya 82 na kubadali usomaji wa ubao kwenye mchezo huo. Mpaka inagotea dakika…

Read More

AZAM FC YAIVUTIA KASI COASTAL UNION

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa wanautazama kwa umuhimu mchezo wao ujao wa ligi baada ya kupoteza dhidi ya Namungo. Katika mchezo uliopita Azam FC ilipoteza pointi tatu dhidi ya Namungo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Ongala amesema kuwa watafanyia kazi makosa ambayo yamepita kupata…

Read More

SINGIDA BIG STARS 0-0 YANGA

UWANJA wa Liti inapigwa nusu fainali ya Azam Sports Federation ya kibabe. Singida Big Stars 0-0 Yanga kila timu ikipambana kusaka ushindi. Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kumenyana na Azam FC iliyotangulia katika hatua ya fainali mapema kabisa. Azam FC ilipata ushindi wa mabao 2-1 Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Read More

KINAWAKA LEO NUSU FAINALI SINGIDA BIG STARS V YANGA

BENCHI la ufundi la Singida Big Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Timu hiyo inayonolewana Kocha Mkuu, Hans Pluijm inapambana na mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pluijm amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo…

Read More