SINGIDA BIG STARS 0-0 YANGA

UWANJA wa Liti inapigwa nusu fainali ya Azam Sports Federation ya kibabe.

Singida Big Stars 0-0 Yanga kila timu ikipambana kusaka ushindi.

Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kumenyana na Azam FC iliyotangulia katika hatua ya fainali mapema kabisa.

Azam FC ilipata ushindi wa mabao 2-1 Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.