KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA
ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba ameonesha uimara wake akiwa langoni ndani ya dakika 270 kwa kuyeyusha dakika zote hizo bila kutunguliwa hata walipokutana na watani zao wa jadi Yanga. Nyota huyo alipewa mikoba ya kipa namba moja wa Simba Aishi Manula na ile ya kipa namba mbili Beno Kakolanya kwenye mechi tatu mfululizo….