YANGA YATEMBEZA BONGE LA MKWARA KWA WAARABU
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia yapo sawa. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini nchini Tunisia Yanga ilipoteza kwa kushuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga watakuwa na kazi ya kusaka ushindi Jumapili. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga…