
SIMBA YATINGA 26 BORA MBELE YA COASTAL UNION
MIKATO yake anayotembeza kimyakimya ndani ya uwanja leo Sadio Kanoute kaihamishia kwa mlinda mlango wa Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 Coastal Union dakika ya 56 akiwa nje ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa Simba kwenye mchezo huo. Coastal Union walicheza kwa kujilinda muda mwingi jambo lililowapa ugumu Simba iliyomtumia Jean…