
KAMBI POPOTE,TUWAPE WAZAWA MAJINA MAZURI
WAKATI timu kwa sasa zikipambana kusajili wachezaji na kushindana sehemu ya kuweka kambi ulikuwa muda sahihi wa kutambulisha uzi mpya wa msimu wa 2022/23 Kuweka kambi nje ya Tanzania ama ndani ya Tanzania sio jambo kubwa ila unafanya hivyo kwa malengo yapi hapo ni msingi muhim kuzingatiwa. Ndani ya Tanzania kuna sehemu nzuri na…