
ARSENAL WACHANA MKEKA
ARSENAL inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imepoteza kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Kwenye mchezo huo uliokuwa na kasi kubwa watupiaji ni Antony dakika ya 35, Marcus Rashford huyu alitupia mawili dakika ya 66…