>

UKUTA WA SIMBA NGOMA NGUMU KWENYE LIGI

UKUTA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda umekuwa ni kama chuma kutokana na kuruhusu mabao machache. Simba ikiwa imecheza mechi 8 ambazo ni dakika 720 imeokota nyavuni mabao manne ikiwa na wastani wa kufungwa bao moja kila baada ya dakika 180. Ni Joash Onyango, Henock Inonga, Mohamed Hussein,Shomari Kapombe hawa ni…

Read More

YANGA WATAJA SABABU YA KUWAWAHI WAARABU

MAPEMA leo kikosi cha Yanga kimeanza safari kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Club Africain. Jesus Moloko nyota wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara ulioanza safari leo Novemba 4,2022 kuelekea nchini Tunisia. Bernard Morrison, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Diara, Mshery, Kibwana Shomari na Dickson Job nao…

Read More

AZAM FC SAFU YAO YA USHAMBULIAJI INAZIDI KUIMARIKA

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa washambuliaji wake wote wanazidi kuwa imara kwenye kila mchezo ambao wanacheza jamb linalowapa matokeo chanya. Staa Prince Dube wanamuita Mwana wa Mfalme amekuwa kwenye kasi nzuri katika mechi mbili za ligi za hivi karibuni akifunga mabao yaliyoipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Aliwatungua Simba na…

Read More

YANGA KUSEPA KUWAFUATAA WAARABU

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-0 Club Africain, mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wawakilishi hao wa Tanzania kimataifa wanatarajiwa kusepa leo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Waarabu hao wa Tunisia, Novemba 9,2022. Wanahitaji ushindi wa aina yoyote ama sare ya kufungana…

Read More

KIPA KEPA KUIKOSA ARSENAL JUMAPILI

KOCHA Mkuu wa Chelsea, Graham Potter amesema kuwa Kepa Arrizabalaga ataukosa mchezo ujao dhidi ya Arsenal. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu England unatarajiwa kuchezwa Jumapili. Sababu ya kipa huyo kuukosa mchezo huo ni kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Raia huyo wa Hispania ni chaguo la kwanza ndani ya Chelsea tangu Potter achukue mikoba ya…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA WAFICHUA SIRI YA KUTUSUA

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya kikosi cha Simba, Moses Phiri amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi anazocheza ni ushirikiano na wachezaji wote wa timu hiyo. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katupia mabao matano na kwenye Ligi Kuu Bara katupia mabao matano na kumfanya awe ametupia mabao 10 msimu…

Read More

MAYELE: BADO TUNA NAFASI KIMATAIFA

NYOTA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa kwa kuwa morali bado ipo. Nyota huyo ambaye kwenye mechi dhidi ya Zalan FC alifunga jumla ya hat trick mbili, mchezo wa kwanza na ule wa pili ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Yanga. Alianza kikosi cha…

Read More

DILUNGA AFICHUA KUHUSU SIMBA

KIUNGO Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki.  Nyota huyo ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar kwa sasa kandarasi yake imemeguka na hajaongezewa mkataba mwingine akiwa ni huru. Ikumbukwe kwamba Dilunga hakutambulishwa siku ya Simba Day ambayo ilitumika kuwatambulisha wachezaji wapya…

Read More

MZAWA SIMBA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 MZAWA Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba. Ni kupitia tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Oktoba. Nyota huyo amewashinda wenzake ambao waliingia nao fainali ya kuwania tuzo hiyo ikiwa ni Joash Onyango na Augustine Okrah. Kiungo huyo ni chaguo la kwanza la…

Read More