>

MANE KUTIBIWA NA WAGAGA ACHEZE KOMBE LA DUNIA

INAELEZWA kuwa Senegal ipo tayari kuwatumia hata waganga wa kienyeji kuhakikisha nyota wao Sadio Mane anapona na kushiriki Kombe la Dunia ambalo linatarajiwa kuanza Novemba 20,kule Qatar. Mane yupo kwenye hatihati ya kukosekana kwenye Kombe la Dunia baada ya hivi karibuni kuumia akiwa na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo dhidi ya Werder Bremen. Katibu…

Read More

ASTON VILLA WAINYOOSHA BRIGHTON

MASHUTI mawili yalipigwa kwenye lango la Brighton na wapinzani wao Aston Villa na hayo yote yalijaa nyavuni. Uwanja wa Falmer ulisoma Brighton 1-2 Aston Villla kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao ulichezwa Novemba 13. Ni mabao ya Danny Ings aliyefunga dakika ya 20 kwa mkwaju wa penalti na lile la pili alifunga mwenyewe dakika…

Read More

MGUNDA KUIFANYIA KAZI SAFU YA USHAMBULIAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amekiri kuwa wanatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi ambazo wanacheza lakini tatizo lipo kwenye kuzitumia nafasi jambo ambalo linafanyiwa kazi.  Safu ya ushambuliaji imetupia mabao 19 na kinara ni Moses Phiri mwenye mabao matano na pasi mbili za mabao. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Big Stars,Phiri alikosa nafasi…

Read More

JUKUMU LA KULINDANA NI MUHIMU KWA WACHEZAJI

WACHEZAJI wengi wamekuwa wakishindwa kukamilisha dakika 90 kwenye mechi ambazo wanacheza kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Hii inatokana na mikimbio ambayo wanaifanya na wakati mwingine ni kutokana na mwili kutokuwa sawa unahitaji mapumziko yote yanatokea. Lakini pia wakati mwingine wachezaji wanashindwa kukamilisha dakika zote 90 ama zile ambazo watapewa kutokana na kupewa…

Read More

NABI AWAPA TANO KAGERA SUGAR

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa pongezi Kagera Sugar kwa kuonyesha ushindani kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Dakika 90 zimekamilika, ubao umesoa Kagera Sugar 0-1 Yanga bao ambalo lilifungwa mapema kipindi cha kwanza. Ni Clemet alipachika bao hilo dakika ya 18 lililomshinda kipa wa Kagera Sugar Said Kipao. Kipindi cha…

Read More

CCM KIRUMBA: KAGERA SUGAR 0-1 YANGA

UWANJA wa CCM Kirumba dakika 45 zimekamilika na ubao unasoma Kagera Sugar 0-1 Yanga. Bao la uongozi kwa Yanga limefungwa na nyota Clemet Mzize dakika 18 akiwa ndani ya 18 na kuwanyanyua Wananchi. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi na dakika ya 45 walisimama kwa pamoja kupig makofi kushangilia uongozi wao pamoja na rekodi yakucheza mechi hizo…

Read More

NABI:TUMETUMIA MUDA MWINGI KWENYE NDEGE KULIKO UWANJANI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ratiba ni ngumu lakini hawalalamiki huo ni ukweli. Nabi amebainisha kuwa wametumia muda mwingi kwenye ndege kuliko muda wa kufanya maandalizi kwa mechi iliyo mbele yao. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…

Read More

KOCHA IHEFU ATAJA WALIPOKWAMIA

JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa mpango kazi ulivurugika baada ya timu hiyo kufungwa bao kipindi cha pili. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana Novemba 12,Uwanja wa Mkapa, Ihefu ilifanikiwa kutoruhusu bao ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili walikwama kulinda na kufunga na kuruhusu bao la…

Read More

AZAM FC WATEMBEZA 4G

AZAM FC wameibuka na ushindi wa maao 4-3 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini….

Read More

SAKHO AIPA POINTI TATU SIMBA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho leo Novemba 12,2022 amefunga bao lake la tatu ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni bao la ushindi pia kwa Simba wakati ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa pongezi kwa wachezaji kufanikisha mpango…

Read More

AZAM FC WANAWAKA MANUNGU

AZAM FC wanaongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaochezwa uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini. ao la tatu ni…

Read More

MZAMIRU YASSIN NI HABARI NYINGINE

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni habari nyingine eneo la kati kutokana na kuimarika kwenye kila mchezo ambao ataanza. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars alikuwa na majukumu matatu, kupoka mipira kwa wapinzani, kulinda na kupeleka mashambulizi kwenye lango la wapinzani. Asilimia 80 ya mipira aliyokuwa…

Read More