
YANGA NDANI YA LINDI,KUIKABILI NAMUNGO
KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Ruagwa, Lindi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Desemba 5,2022 kikosi kilisepa Dar na kuibukia Mtwara kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo huo. Yanga inatarajiwa kumenyana na Namungo ukiwa ni mchezo wa kufungia mzunguko wa kwanza 2022/23 mpaka sasa…