
YANGA YAWAACHA WAARABU KWENYE MATAA, MGUNDA AIFUNGIA KAZI YANGA
YANGA yawaacha waarabu kwenye mataa, Mgunda aifungia kazi Yanga, ndani ya Championi Jumamosi.
YANGA yawaacha waarabu kwenye mataa, Mgunda aifungia kazi Yanga, ndani ya Championi Jumamosi.
Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali ulimwenguni, EPL, LaLiga, Ligue 1, Serie A na Bundesliga zote zitatimua vumbi wikiendi hii, Usiwaze kuhusu Odds bomba na kubwa, ni Meridianbet pekee ndio Mabingwa wa Odds hapa Tanzania. Jumamosi yenye mzuka itaanza kwa mechi kali ya EPL ni Manchester City ambao watakuwa ni wenyeji wa Fulham, wakiwa na…
KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema kuwa wanakwenda na wachezaji 21 ambao wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain unaotarajiwa kuchezwa Novemba 9,2022
UKUTA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda umekuwa ni kama chuma kutokana na kuruhusu mabao machache. Simba ikiwa imecheza mechi 8 ambazo ni dakika 720 imeokota nyavuni mabao manne ikiwa na wastani wa kufungwa bao moja kila baada ya dakika 180. Ni Joash Onyango, Henock Inonga, Mohamed Hussein,Shomari Kapombe hawa ni…
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa wanakwenda kwenye dakika 90 ngumu kimataifa kusaka ushindi dhidi ya Club Africain ya Tunisia ambpo msafara leo umekwea pipa kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Novemb 9,2022
MAPEMA leo kikosi cha Yanga kimeanza safari kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Club Africain. Jesus Moloko nyota wa Yanga ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye msafara ulioanza safari leo Novemba 4,2022 kuelekea nchini Tunisia. Bernard Morrison, Khalid Aucho, Fiston Mayele, Diara, Mshery, Kibwana Shomari na Dickson Job nao…
KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa washambuliaji wake wote wanazidi kuwa imara kwenye kila mchezo ambao wanacheza jamb linalowapa matokeo chanya. Staa Prince Dube wanamuita Mwana wa Mfalme amekuwa kwenye kasi nzuri katika mechi mbili za ligi za hivi karibuni akifunga mabao yaliyoipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Aliwatungua Simba na…
MCHAMUZI wa masuala ya michezo na mtangazaji Bongo, Mwanaidi amebainisha kuwa Nasreddine Nabi amekuwa na rekodi nzuri ya kutofungwa kwenye mechi 45 za ligi lakini kuna jambo hawezi kukwepa
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-0 Club Africain, mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wawakilishi hao wa Tanzania kimataifa wanatarajiwa kusepa leo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Waarabu hao wa Tunisia, Novemba 9,2022. Wanahitaji ushindi wa aina yoyote ama sare ya kufungana…
KOCHA Mkuu wa Chelsea, Graham Potter amesema kuwa Kepa Arrizabalaga ataukosa mchezo ujao dhidi ya Arsenal. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu England unatarajiwa kuchezwa Jumapili. Sababu ya kipa huyo kuukosa mchezo huo ni kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Raia huyo wa Hispania ni chaguo la kwanza ndani ya Chelsea tangu Potter achukue mikoba ya…
MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya kikosi cha Simba, Moses Phiri amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi anazocheza ni ushirikiano na wachezaji wote wa timu hiyo. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katupia mabao matano na kwenye Ligi Kuu Bara katupia mabao matano na kumfanya awe ametupia mabao 10 msimu…
NYOTA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa kwa kuwa morali bado ipo. Nyota huyo ambaye kwenye mechi dhidi ya Zalan FC alifunga jumla ya hat trick mbili, mchezo wa kwanza na ule wa pili ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Yanga. Alianza kikosi cha…
KIUNGO Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki. Nyota huyo ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar kwa sasa kandarasi yake imemeguka na hajaongezewa mkataba mwingine akiwa ni huru. Ikumbukwe kwamba Dilunga hakutambulishwa siku ya Simba Day ambayo ilitumika kuwatambulisha wachezaji wapya…
KISA Waarabu,,,, Kigogo aingilia kati Yanga, Mgunda asuka mpango kuitoa Yanga kileleni ndani ya Championi Ijumaa.
MZAWA Mzamiru Yassin amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba. Ni kupitia tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Oktoba. Nyota huyo amewashinda wenzake ambao waliingia nao fainali ya kuwania tuzo hiyo ikiwa ni Joash Onyango na Augustine Okrah. Kiungo huyo ni chaguo la kwanza la…
TAZAMA ambacho wamefanya mashabiki wa Simba kwenye basi la wapinzani wa Yanga, Club Africain Waarabu wa Tunisia Uwanja wa Mkapa
SHABIKI wa Simba maarufu kama Mzaramo ameweka wazi kuwa kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Club Africain uliochezwa Uwanja wa Mkapa ameona mauzauza kwa kuwa jamaa walikuwa wanazuia tu na kwa ishara hiyo wakienda ugenini watapoteza